Msanii wa siku nyingi aliyetamba kwenye luninga hasa kwenye mchezo wa Jumba La Dhahabu Kojak 'CHAPA YA NG'OMBE' anatarajii kwenda nchini Italia kwaajili ya kuigiza Filamu kadhaa nchini humo. Akiongea na Blogger wetu ofisini kwake maeneo ya Kariakoo, Kojak amesema safari iko kwenye maanadalizi na karibuni ataondoka. Pia ameweka wazi kua hataondoka peke yake bali ataondoka na Wasanii wengine watano wakiwemo wanawake na wanaume. Kuhusu ni nani na nani watakuwepo kwenye safari hiyo, amesema maandalizi yakapo kamilika atawatangazia watu wote ili wajue. |
|
0 comments:
Post a Comment