TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, August 17, 2012

TAFF NA BONGO MOVIE SASA KAZI MOJA.

Rais wa TAFF, Mwakifamba 'kulia' akishikana mikono na mwenyekiti wa Bongo Movie Jacob Steven 'JB' kama ishara ya kumaliza tofauti zao. Sasa kwa pamoja wamehakikisha kupigana kufa na kupona kuhakikisha wanamaliza tatizo la wezi wakazi za Wasanii Tanzania. Hata hivyo wao kwa pamoja wamekubaliana kwenda pamoja mahakamani kusiliza kesi ya Mwizi wa kazi za Wasanii Bw. Rigoberty Massawe ambaye alikamatwa na kazi bandia za kazi za Wasanii. 

''JB'' akiwa na baadhi ya Wasanii wa Bongo Movie wakati wa upatanisho pale Leaders Club wakati kikao kilifanyika pale kujadili mambo mbali mbali yahusuyo sanaa ya Tanzania na Hatimiliki.

''Hakuna ugomvi tena''



Wadau wengine wa Filamu nao waliungana kwa pamoja kufurahia muunganiko huo...

0 comments:

Post a Comment