''JB COMPANY ni kampuni mpya na ya kizalendo yenye lengo la kuinua kazi za Wasanii Tanzania pamoja na maisha yao kwa ujumla. Mimi msimamizi mkuu wa mwaswala yote ya Kampuni, nazunguka baadhi ya Mikoa hapa Tanzania kama kuitangaza Kampuni pamoja na kazi yetu mpya iitwayo ''MALIPO''. Ambapo kwenye Filamu hii mimi mwenyewe nimeshiriki kama muhusika mkuu. Pia kuna wasanii wengine kama Slim, Stanley Msungu ''MSUNGU'' Nyamayayo, Blandina Chagula 'JOHARI' nawengine wengi. |
|
0 comments:
Post a Comment