Mkurugenzi wa Mwamba Arts Group, Bw. Mashimo ametangaza kuwafahamu wezi wa kazi za Wasanii. |
Pia hakuhofia usalama kwa kuwataja majina ambapo alitaja jina la Kampuni hiyo bila woga, na kusema anawafahamu wanapoishi na wanapofanyia kazi hiyo haramu ya kudurufu kazi bandia ya kazi za Wasanii nchini. ''Jamani naumi sana mimi kama Mkurugenzi na mzalishaji (Producer) kuona nafanya kazi halafu naipeleka kwa msambazaji (anataja jina la msambazaji) halafu hao hao wafanyakazi wake ndiyo wanakua wakwanza kwenda kuvujisha kazi zetu.'' Alisema Mashimo.
Bw. Mashimo akifichua wezi wa kazi za Wasanii.. |
Bw. Mashimo akizungumza jambo na Mtunisi. |
0 comments:
Post a Comment