Mkuerugenzi wa Steps Entertainment, Bw. Dilesh ametangaza kiasi cha Sh. 2,000,000/= kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kupatikana kwa watu au mtu anayeuza kazi bandia za Wasanii. Pia Bw. Dilesh amelalamikia kua Tanzania haina adhabu kali kwa hawa watu wanaokamatwa na kazi bandia za Wasanii, pia angekuwepo mwanasheria anayesimamia swala hili. |
0 comments:
Post a Comment