Msaani aliyetamba na Tamthilia ya Jumba la Dhahabu, Kojack, mwenye flana nyekundu akiwa na mkurugenzi wa Kapongo Production aiishie nchini Italia, anesema safari yake ya kwenda kuigiza nchini Italy imekamilika na sasa anasaka wasanii wanne au watano kwaajili ya kuondoka nao. Akizungumzia safari hiyo amesema kila kitu kipo tayari ni yeye tu anasubiriwa kukamilisha mazungumzo na Wasanii hao kwaajili ya kwenda kufanya movie nchini Italia. |
0 comments:
Post a Comment