TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, September 7, 2012

NAMSHUKURU MWENYEZI MUNGU NIMEMALIZA ZIARA YANGU SALAMA.

Ziara niliyokua nikiifanya mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Iringa na kwingineko, namshukuru Mwenyezi Mungu amakua na sisi mwanzo wa safari mpaka mwisho. Pia nawashukuru wenyeji kwenye kila mkoa tulioenda tumekua tukipokelewa tofauti na mataraji yetu. Yaani mapokezi yamekua mazuri sana na tumekua tukipewa ulinzi wa hali ya juu sana  na tumepokea maoni na ushauri wa watu wetu (MASHABIKI)

0 comments:

Post a Comment