TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, September 26, 2012

R.I.P CHAMA CHA MAPINDUZI.

Utani unaondelea Kwenye account nyingi za Facebook ni baadhi ya watu wametengeneza jeneza lenye rangi ya chama tawala cha CCM, na kusema R.I.P CCM binafsi sijajua ni kukiombea mabaya chama hiki au ni kuikiamsha huko kiliko lala au ni vipi?

0 comments:

Post a Comment