| Tunapaswa kujua kujichukulia sheria mkononi ni kosa kubwa sana kisheria... |
| Hivi wewe unayefkitendo hiki, ukifanyiwa utajisikiaje????? |
| Tazama hii....... |
| Tuwe na huruma kwa binadamu wenzetu jamani.......... |
![]() |
| Kijana huyu alekkwa kosa la wizi wa simu wanamchoma moto sasa, kwanini na Mafisadi wanaoifilisi nchi yetu na wao wasichomwe moto? |




0 comments:
Post a Comment