Tazama dada zetu na wadogo zetu huko uswahilini wanavyotuzalilisha wasichana mpaka watu wanatuona wanawake hatuna maana mbele ya jamii.
Naiomba wizara husika iwe inatoa adhabu kali kwa watu kama hawa ambao mara nyingi huwa wanafanya haya mambo kwenye mikesha ya kumtoa mwali, mtoto au hata mkesha wa harusi.
Tuesday, October 2, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment