TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Friday, October 5, 2012

TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL LAWAGUSA WASANII WA MOVIE.

Jacquline Wolper na Manager wake Leah Richard 'LAMATA' wakati tamasha hilo likiendelea kwenye viwanja vya Ledears Club Kinondoni.
Ben Kinyaiya naye kama Msanii wa Bongo movie pia alikua MC wa shughul nzima ya tamasha hilo.
Kuanzia kulia ni Hartman Mbilinyi, Mzee Kitme na mwenyewe Jacquline Wolper.
Flora Mvungi na mpenzi ambaye wanataraji kufunga ndoa nakuwa mke na mume Hamis Baba 'H. BABA'.
Kulia ni mshindi wa BSS mwaka jana Haji Ramadhani naye kama mwimba alishiriki kwenye tamasha hilo japo bendi yake ya The African Stars Twanga Pepeta ilipagawisha vilivyo jukwwani.
Hapa Haji Ramadhani akiwa na Thabit Abduli mpiga gita, kiongozi, mpiga keyboard wa Mashauzi Classic taarab naye alihusika vilivyo kwani Bendi yake ilihusika kupagawaisha mashabiki waliohudhuria Tamasha hilo.
''THREE BROTHERS''
Thabit na mnenguaji wa Twanga Pepeta katika picha ya pamoja.
Kulia ni mtangazaji wa Radio One Salma Dacota akiselebuka na Mzungo wakati Mashauzi walipokua jukwaani.
Aliyekua mtangazaj machachari wa Times Fm, Mecky Mkwawa akipozi na rafikiye ambaye jna lake halikupatikana kwa haraka.

0 comments:

Post a Comment