TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Wednesday, October 17, 2012

NEXT LEVEL KUAJIRI MODALS KADHAA KWAAJILI YA KAZI ZAO.

Hawa ni baadhi ya Modals waliokuwepo kwenye Usahili.















 Baadhi ta washiriki wakifanyiwa Udahili siku hiyo pale Vijana Social Hall siku ya Jumapili ya tarehe14/10/2012, kwani Mkurugenzi wa Next Leve, Adam Juma amesema lengo kwanza ni kuwapa vijana ajira katika kampuni yake za kuigiza kwenye Matangazo, Filamu, Documentaries na hata Music video anazofanya yeye mwenyewe. Hata hivyo alizungumzia kuwa kuwa si kwakua atawaajiri yeye basi ndiyo mtu mwingine hatoruhusiwa kufanya nao kazi la, ila kitakachofanyika ni kwamba mtu yeyote atakapowahitaji ni kwamba atawasiliana naye halafu watazungumza kikazi zaidi. BIG UP ADAM JMA WA VISUA LAB NEXT LEVEL.

0 comments:

Post a Comment