Msanii wa kizazi kipya ambaye pia ni mtayatishaji wa muziki huo, Bob Junior kama anavyojilikana kwa mashabiki wake, amesheherkea siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni muda mfupi baada ya toka Norway na kwenda Finland. Pia amewashukuru mashabiki wake na wote waliomuandalia keki ya ya siku yake ya kuzaliwa.
''Nashukuru
wote mlioni wish na nimetokea norway nimefika finland pundee tuu nime
fanyiwa surprise ya cake mungu ahsante kunifikisha miaka 24 rasmi amin
na ahsanteni wotee''
|
0 comments:
Post a Comment