HUJAFA HUJAUMBIKA. MTOTO ABADILIKA NYOKA SIKU HADI SIKU.
Kabla hujafa hujaumbika na kama wewe Mwenyezi Mungu alikuumba vizuei basi usimdharau na kumdhihaki mwenzio mwenye pungufu lolote naomba tuwe na moyo wa kuwasaidia wenye matatizo kama haya na sio kuwasidia watu wenye kujiweza na kujionesha mbele za watu kwa kutaka sifa mbele za watu picha hii imeniuma na kunigusa sana.
0 comments:
Post a Comment