MTU MMOJA AMBAYE JINA LAKE HALIKUFAHAMIKA MARA MOJA AMEUWAWA MAENEO YA MKWAJUNI KINONDONI AKIWA KWENYE FOLENI NA GARI LAKE.
WAUWAJI HAO AMBAO WALIKUA KWENYE PIKIPIKI WALIMFYATULIA RISASI MAREHEMU BILA KUA NA WOGA WOWOTE KANA KWAMBA NI WATU WENYE KUFANYA JAMBO KAMA VILE WANACHOKIFANYA NI CHA KAWAIDA KABISA. PAMOJA NA WAUWAJI HAO KUFANYA TUKIO ENEO AMBALO LILIKUA NA MSONGAMANO WA MAGARI, WALIISOGELEA GARI YA MAREHEMU NA KUTOA BASTOLA NA KUMFYATULIA AMBAPO MAREHEMU ALIAGA DUNIA MDA MFUPI SANA NA WAUWAJI KUTOKOMEA KUSIPOJULIKANA.
Wednesday, March 20, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment