TANGAZO

KWA WALE WANAOHITAJI T.SHIRT KWAAJILI YA SARE SIKU YA AMBAYO WASANII WATAJUMUIKA KWA PAMOJA SIKU YA KWENDA MAHAKAMANI WAFIKE BAJOMBA CO.LTD MAGOMENI MOROKO HOTEL AU WAPIGE SIMU NAMBA:0715316796. BILA KUSAHAU MCHANGO WA TSH. 2000/=

Thursday, March 21, 2013

''SIJAPATA AJALI YOYOTE.

Sina ugomvi na mtu na sina ubaya na mtu vipi mnanizulia mabaya jamani? Nawapenda wote na nawaheshimu wote, sijui kumchukia mtu tangu niko mdogo. Nimesikitika kusikia eti kuna gazeti mmoja la hapa nchini likiandika kua nimepata ajali na niko mahututi, nimekua nikipokea simu kutoka kwa watu nisiowajua na ninaowajua wakinipa pole kwa kupata ajali, nimeshukuru kwa kuona watu wamekua wakinijali na kunifuatilia lakini baadhi ya watu wenye nia mbaya na mimi wamekua wakinizulia mambo mabaya. Kifupi ni kwamba sijapata ajali mimi niko salama na naendelea na kazi zangu kama kawaida.

0 comments:

Post a Comment