Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gelly wa Rhym amesema alitamani sana kuingia kwenye Tuzo za Kili Music Awards lakini amechelewa kutoa ngoma kali ambazo zingemuingiza kwenye kinyang'anyiro hicho lakini hata hivyo amesema anaingia gym kuweka mwili sawa na kuingia studio kurekodi nyimbo kali ambazo zitamrudisha upya.Pia Gelly alitoa kali ya mwaka baada ya kusema anatamani sana kama Kili Music Awards wangekua wanatoa tuzo za msanii ambaye hajatoa ngoma mda mrefu maana ana uhakika yeye angechukua tuzo hiyo. Na kwenye kundi lake angekua yeye 'Gelly,' Bushoke, 20%, Z Anto, na wengine wengi. |
Friday, May 10, 2013
GELLY WA RHYM AZUNGUMZIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment