Msanii wa siku nyingi we Bongo Fleva Juma Kassim Kiroboto 'JUMA NATURE' Amezungumza kua hivi karibu anakuja na bidhaa yake mwenyewe ya vazi aina ya kandambili zitakazo julikana kama 'ALISIA' Pia amesema mbali na Kandambili pia atatoa Flana zake mwenyewe. Kiukweli ni hatua kubwa sana aliyofikia msanii huyu wa Muziki Tanzania na namuombea kwa Mwenyezi Mungu afike mbali zaidi.
0 comments:
Post a Comment