HUYU
NI MMOJA KATI YA MAJERUHI WENGI WA BOM LILILOLIPUKA SIKU YA JUMA PILI KWENYE KANISA
LA MTAKATIFU JOSEPH MJINI ARUSHA. AMBAKO BALOZI WA PAPA ALIKUWA
AKIHUDHURIA IBAADA YA KUZINDUA PAROKIA HIYO AMBAYO ILIKUA KIGANGO NA BAADAYA KUA KANISA RASMI. AMBAPO MLIPUKO HUO ULITOKEA KABLA YA SHUGHULI ZA UFUNGUZI KUANZA KANISANI HAPO. HIVI KWELI NYUMBA
ZA IBAADA ZINALIPULIWA KAMA KAMBI ZA WAASI? EEEEE MUNGU TUSAIDIE. |
Tuesday, May 7, 2013
MLIPUKO KANISANI MJINI ARUSHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment